MTOTO KUKATAA KUNYONYA

Mtoto kukataa kunyonya ni hali ambayo mtoto aliyekuwa ananyonya vizur,ila baada ya muda anakataa kunyonya ,hapa siongelei watoto waliotoka kuzaliwa Bali watoto ambao Tayar walikuwa wananyonya, Mambo yanayosababisha mtoto kukataa kunyonya: Maumivu…

UJAUZITO WAKATI UNANYONYESHA

Uzaz wa mpango ni muhim sana ili kumfanya mtoto  akue vizur pia kukusaidia hata wewe mama kuboresha afya yako. Mama unatakiwa ufikilie kubeba mimba nyingine pindi mtoto anapokuwa na miaka miwil au…

UPANDE UPI NI SAHIHI KULALA KWA MAMA MJAMZITO

Upande upi ni salama kulala muda mwingi kwa mama mjamzito? Mimba inapofika week 16 mama unatakiwa kuwa makin na upande upi unatumia kulala muda mwingi.Unapokuwa mjamzito unatakiwa ulale kwa ubavu kitaalamu wanaita(…

NATURAL ANTIOBIOTIC KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Mama unayenyonyesha unatakiwa uepuke Sana matumiz ya dawa kipindi unanyonyesha kwani kuna baadhi ya dawa ambazo hupunguza uzalishaji wa maziwa  pindi utumiapo,pia unapokunywa dawa kuna kiasi huenda kwenye maziwa na mtoto hupata…

URINARY TRACK INFECTION (UTI)

Urinary Track Infection (UTI)  ni nini ? UTI ni ugonjwa wa maambukizi katika mfumo wa mkojo , UTI ugonjwa ambao umekuwa tatizo sugu sana hasa kwa wanawake wengi, mama wajawazito , watoto…