Sunday , October 22 2017

Recent Posts

TATIZO LA KUSHIDWA KUPUMUA KIPINDI CHA UJAUZITO

TATIZO LA KUSHIDWA KUPUMUA VIZURI KIPIND CHA UJAUZITO (BREATHLESS) Tatizo la kushidwa kupumua ni tatizo linalowapata baadhi ya wajawazito. Hii wakati mwingine husababishwa na mtoto kukua na kukandamiza mbavu za mama .Tatizo hili linaweza anza mwanzon wa mimba katikat au mwishoni Baadhi ya vitu ambavyo hupelekea mama kushidwa kupumua ni …

Read More »

ORAL TRUSH KWA WATOTO (UTANDO MWEUPE MDOMONI MWA MTOTO)

Oral thrush huu ni ugonjwa unawapata baadhi ya  watoto wachanga sana. Dalili kubwa ya oral thrush ni utando mweupe kwenye ulimi, ndani ya mashavu ,kwenye fizi, na lips za midomo. Oral thrush zinasababishwa na fungus aina ya candida albicans. Watoto wapo kwenye risk kubwa ya kupata ya kupata hii infection …

Read More »

RHESUS FACTOR (RH) KWA MAMA MJAMZITO

    Leo tuangalia kidogo umuhumu wa mama mjamzito na baba  mjamzito  kujua RH group yao . Mama mjamzito unapoenda klinik ya kwanza Mara nying mama huchukulia vipimo vya damu Vingi. Mojawapo ya kipimo ni kujua group lako la damu kama ni A,B,AB au O pamoja na rhesus factor yako …

Read More »